CHADEMA , Hukumu ya Halima Mdehe - JUA NEW

JUA NEW

News is what everyone needs.It is a part of life getting informed about what you need to here and see. in here, we help you get it right. Everyone is a member of this blog. Feel free to give your suggestions.

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here
CHADEMA , Hukumu ya Halima Mdehe

CHADEMA , Hukumu ya Halima Mdehe

Share This

CHADEMA , Hukumu ya Halima Mdehe


Halima Mdee yeye akiwa mbunge  kupitia tiketi ya chama cha upinzani ( CHADEMA), mawakili wake wameitupilia mbali hoja ya mahakama inayosikiliza kesi yake kwa kusema kwamba mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo inayosemekana kuwa yakumtolea luga chafu Mh.JPM au Raisi wa tanzania

  Hoja au mapinga mawili yalitolewa ambayo ni mapungufu ya hati ya mashtaka  pamoja na Mahakama hiyo kutokua na mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo na hapa akiidhinisha sababu kuwa ni Mkuu wa Wilaya aliyetoa amri ya kukamatwa na kushtakiwa kwa Halima Mdee alishindwa kufuata matakwa ya kisheria. na baada ya hayo yote  kesi hiyo imeahirishwa hadi  hapo, September 12, 2017.

Featured Post

Ukweli wa kifo cha Ndikumana kuzushiwa Niyonzima

Haruna niyonzima ni mchezaji anaecheza nchin Tanzania ila akitokea nchini Rwanda. Kifo kimezushwa na mtu asiejulikana akadai kuwa haruna n...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages