Kenya ni nchi yenye watu wengi waliojawa na muamko wa kuchagua kila wanaempenda aongoze nchi yao. lakini kumekua na sintojua pale zaidi ya miaka mitatu au mala tatu kila uchaguzi ukia upinzani wanashindwa.
kwa mwaka huu imekua vivyohivo, upinzani wanaonesha kukataa matokeo ya uchaguzi na wanadai kura zinaibiwa, na kua kwa mwaka huu kura zilizoanzaliwa kutangazwa siyo zile zinazotanganzwa kupitia system ya kuhesabu kura hizo.
Sambamba na uchaguzi huu ni wananchi zzaidi ya wawili wameshapoteza maisha yao kwa kutetea kile wanachokiita utetezi wa wanachokiamini ni haki yao. endelea nasi tutazidi kukujuza zaidi