Snakes and their types. - JUA NEW

JUA NEW

News is what everyone needs.It is a part of life getting informed about what you need to here and see. in here, we help you get it right. Everyone is a member of this blog. Feel free to give your suggestions.

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here
Snakes and their types.

Snakes and their types.

Share This
Nyoka ni moja kati ya viumbe vinavyo tamba kwakutumia tumbo. Wapo nyoka wa aina nyingi nakila kundi likiwa na langi na tabia tofauti ukilinganisha na ainanyingi ya nyoka hao. Nyoka anaaminika kuwa mnyama mkali namjanja huku akiwa na uwezo wa kutumia mdomo wake katika kulanakumeza piana kujilinda dhidi ya kila kinachokisiwa kuwa adui yake. Hiki kiumbe kilichojaliwa sumu kali kuliko  wanyama wengine ( nyoka), kinauwezo wa kutumia sumu yake na kuweza kuua viumbe wengine. Nyoka hawa wapo katika makundi mbalimbali na haya yafuwatayo ni makundi makubwa ya nyoka hao.

Kundi la kwanza ni kundi la nyoka wenye aina ya minyoo wenye uwezo wa kuishi bilakutegemea 
kumeza wanyama wengine. hawa hawana sumu naa hawawezi kumuua binadamu wala wanyama wa 
polini. hawa ni wembamba sana kiya cha wengine kutoweza kuonekana kwa macho ya kawaida bali 
tu paleutakapokua na kifaa cha kuweza kuangalizia. hawa wanapatikana katika vidimbwi na sehemu yenye unyevunyevu.

Mbali na hao kuna kundi la pili la nyoka wanaopatikana sehemu nyingi Duniani na hasahasa katika mapoli mengi ya nchi za Africa. Ni nyoka weusi na huwa wembamba ila walefu kiasi na wana sumu kali sana, dawa yasumu hii malanyingi hutengenezwa kwa kuchoma mfupa wa myama kwa kutumia kifaa maalumu na hivyo kuubandi pale nyoka huyu alipodonowa au alipong'ata. hawa wapo kote na mala nyingi pia hupatikana katika savana. wanakaa shimoni na kutega sehemu wapopita binadamu au wanyama wengine. vilevile hawa nyo hua ni waoga sana kiasi cha kukimbia sana wakishituliwa na kishindo chochote.

Kundi la tatu ni kundi la nyoka wenye vicha viwili na wana uwezo wa kutembea eidha kunyumenyume au kimbelembele. Nyoka hawa hua hawang'ati ila inaaminika ukimkanyaga akakung'ata basi sumu yake ni vigumu kupona. Niwapole na hupenda kujificha chini kwenye udondo au sehemu yenye majani mengi yaliyolundikwa kwa pamoja.

Kundi lingine la nyoka ni kundi la nyoka wakubwa na wenye sumu kali, hawa wamo aina ya nyoka ka kobla na wengine ambao wao huwa hawaogopi na kutega kwa ajili ya kupata riziki zao au kwa ajili ya uhalibifu. hawa nyoka huwa wanalenga sana paji la uso au kichwani na sumu yao husambaa kwa mda mdogo mwilini. Hupendeles kukaa katika mapoli makubwa makubwa na yenye miti ya kutosha ya kujificha na kujihifadhi. Ni waelewana huweza kujua adui anatokea wapi kabla hajawafikia. 

kundi la mwisho ni kundi la Nyoka wakubwa na wakutisha. Chakushangaza katika maisha ya hawa nyoka hawana sumu hata kidogo na wengi wao hawana meno hivyo kupata chakula wanameza bilakutafuna. Hawa ni kama chatu na wengine ambao na wenyewe huishi mitoni na katika mapoli makubwa. Wana nguvu na uwezo mkubwa wakuua hadi wanyama wakubwa wakubwa.

Hao ni baadhi ya nyoka ambao tumewachagua na kalibuni tunaainisha kila nyoka na tabia na 
uwezo wake kwa kina. Unashauliwa kutomsogelea nyokamwenye sumu maana sumu zao ni hatari kwa maisha ya binadaam. Wapo ambao wanafugwa lakini mtoto wa nyokani nyoka tu, asipokugonga 
anaweza kukuambukizamagonjwa mengine yasiyo ya lazima.

Featured Post

Ukweli wa kifo cha Ndikumana kuzushiwa Niyonzima

Haruna niyonzima ni mchezaji anaecheza nchin Tanzania ila akitokea nchini Rwanda. Kifo kimezushwa na mtu asiejulikana akadai kuwa haruna n...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages