Baada ya Sakata la ndege ya Bombadier kukamatwa nchini canada kwa deni la zaidi ya billion 38 Tanzania inalodaiwa na lisu kuwa Mmoja Kati ya walioliamsha Sakata hili, aliendelea kudai na kuonesha udhaifu wa uongozi wa chama tawala na kuendelea kushinikiza ulipwaji wa deni Hilo.
Siku mbilitatu baada ya hili bomb lililipuka katika moja ya majengo yanayotumiwa na kuhifadhi nyalaka mbalimbali za mawakili wanaojitegemea na wanaoonekana Kua upande wa upinzani na inasemekana document zote za mawakili hao zinawekwa Hugo. Bomu hili lilizua hali ya kutokuelewana na kutokujua nani au upande gani uliolilipua hivyo kupelekea upinzani kudai Kua bomu hili lililipuliwa na Jeshi la polisi Maana ibasemekana waliingia na kutoka Kabla bomu hilo kulipuka.
Lisu kawa mwiba baada ya kutangaza mgomo wa mawakili wote nchi nzima na kuazimia mambo makuu sita likiwemo la kudai Kwa kila mtanzania hasahasa wapinzani Kwamadai yakutopewa nafasi na uhuru.